Ijumaa, 3 Februari 2017

WATAALAMU WA BENKI YA DUNIA WATEMBELEA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO KIGAMBONI

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga (kulia) akizungumzia kuhusu ujenzi wa mfano wa majengo ya Mahakama  wa kutumia teknolojia  yenye gharama nafuu ijulikanayo kwa jina  la Moladi kwa Mtaalamu kutoka Benki ya Dunia(WB),Waleed  Haider Malik(wa pili kushoto) na   Mratibu wa Programu za Benki ya Dunia katika nchi za  Burundi, Malawi, Somalia na Tanzania, Preeti  Arora,(wa pili kulia) wakati wataalamu hao walipotembelea leo  Mahakama ya Mwanzo Kigamboni iliyopo jijini Dares Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra Maruma.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga (kulia) akizungumzia kuhusu ujenzi wa mfano wa majengo ya Mahakama  wa kutumia teknolojia  yenye gharama nafuu ijulikanayo kwa jina  la Moladi kwa Mtaalamu kutoka Benki ya Dunia(WB),Waleed  Haider Malik( katikati) na   Mratibu wa Programu za Benki ya Dunia katika nchi za  Burundi, Malawi, Somalia na Tanzania, Preeti  Arora,(wa pili kulia) wakati wataalamu hao walipotembelea leo  Mahakama ya Mwanzo Kigamboni iliyopo jijini Dares Salaam.Kushoto  wa pili ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra Maruma  (kushoto) ni Mhandisi Martin Frimos.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga (kulia) akizungumzia kuhusu ujenzi wa mfano wa majengo ya Mahakama  wa kutumia teknolojia  yenye gharama nafuu ijulikanayo kwa jina  la Moladi kwa Mtaalamu kutoka Benki ya Dunia(WB),Waleed  Haider Malik( katikati) na   Mratibu wa Programu za Benki ya Dunia katika nchi za  Burundi, Malawi, Somalia na Tanzania, Preeti  Arora, (wa pili kulia )wakati wataalamu hao walipotembelea leo  Mahakama ya Mwanzo Kigamboni iliyopo jijini Dares Salaam.Kushoto wa pili ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra  Maruma na kushoto  ni Mhandisi Martin Frimos.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni