Ijumaa, 24 Machi 2017

JAJI MUGASHA AAPISHWA KUWA KAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

 Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Stella Eshete Mugasha akiapa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama leo Ikulu jijini Dar es salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Stella Eshete Mugasha kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama leo Ikulu jijini Dar es salaam

 Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Stella Eshete Mugasha akipokea zana za kazi kutoka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli mara baada ya kuapishwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama leo Ikulu jijini Dar es salaam

 Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama wakila kiapo cha Maadili mara baada ya kuapishwa kushika nyadhifa walizoteliwa hivi karibuni.   

 Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama wakisaini kiapo cha Maadili mara baada ya  kuapishwa.


 Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Stella Eshete Mugasha akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa  Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Stella Eshete Mugasha akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa  Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama leo Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama  leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma katika  hafla ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama  leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju katika  hafla ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama  leo Ikulu jijini Dar es Salaam.


 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akizungumza wakati  hafla ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama  leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati  hafla ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama  leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Prof. Palamaganda Kabudi  akiapa kuwa  Waziri wa Katiba na Mambo ya Sheria leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 Prof. Palamaganda Kabudi  akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa  Waziri wa Katiba na Mambo ya Sheria leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 Viongozi mbalimbali, Watumishi  pamoja na wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla ya kuapishwa kwa  Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 Aliyekuwa waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiapishwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 Kamishna wa Tume yaUtumishi wa Mahakama, Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Stella Eshete Mugasha (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mahakama ya Tanzania mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo leo Ikulu jijini Dar es salaam.


                                                                          

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni