Jumatano, 22 Machi 2017

MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA YAKUTANA NA WADAU KUJADILI UONDOSHAJI WA MASHAURI

Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Mwanza pamoja na wadau wakiwa kwenye Mkutano Kujadili namna ya kuondosha mrundikano wa mashauri yaliyoko Mahakamani kwenye Kanda hiyo. Kanda ya Mwanza inajumisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Mara.

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Mwanza Mhe. Makaramba akizungumza wakati wa Mkutano wa Mahakama na wadau wake uliojadili namna ya kuondosha mrundikano wa mashauri Mahakamani uliofanyika jana katika Kanda hiyo. Kanda ya Mwanza inajumisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Mara.

Majaji na Baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Mwanza wakiwa kwenye Mkutano Kujadili namna ya kuondosha mrundikano wa mashauri yaliyoko Mahakamani kwenye Kanda hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni