Alhamisi, 16 Machi 2017

UKARABATI MDOGO KATIKA JENGO LA MAHAKAMA YA MWANZO MATAMBA LILILOPO WILAYANI MAKETE WAENDELEA

Mtendaji wa Mahakama-Njombe, Bi. Maria Francis Itala (mwenye koti la 'cream') aliyepo ndani ya jengo pamoja na wenzake wakikagua jengo la Mahakama ya Mwanzo Matamba lililopo katika ukarabati.
Muonekano wa Jengo la Mahakama ya Mwanzo Matamba iliyopo Wilaya ya Makete Mkoani Njombe. Jengo hili lipo katika ukarabati ili kuliboresha zaidi kwa ajili ya utoaji huduma bora ya haki katika Wilaya hiyo na taifa kwa ujumla.
Mtendaji wa Mahakama-Njombe, Bi. Maria Francis Itala (kushoto) akipata maelezo juu ya maendeleo ya ukarabati wa jengo hilo, katikati ni Mhe. Michael Manjale,  Hakimu-Mahakama ya Mwanzo Matamba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni