Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (
aliyenyoosha mkono) akikagua leo ujenzi
wa jengo la Kituo cha Mahakama Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) kilichopo eneo la Kihonda
Wilaya ya Morogoro. Kituo hicho kinajumuisha Mahakama Kuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi na Mahakama ya
Wilaya, Mahakama ya Mahakama Mwanzo, zikiwemo ofisi za wadau wote wa Mahakama.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni