Alhamisi, 15 Februari 2018

MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA

JENGO JIPYA LA MAHAKAMA YA MWANZO-ROBANDA
 Pichani ni muonekano wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Robanda lililopo Wilaya ya Serengeti, jengo hili lilijengwa kwa nguvu za wananchi na kumaliziwa na Mahakama ya Tanzania lilikabidhiwa rasmi tayari kwa matumizi Januari 26, 2018, uwepo wa jengo hili utasaidia kuwapunguzia wananchi aza ya kusafiri kilomita zipatazo 40 kwenda Mahakama ya Mwanzo Serengeti kutafuta haki zao.
Muonekano wa nyuma wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Robanda.
Maafisa Tawala wa Mahakama mkoani Mara wakionyesha baadhi ya ofisi za jengo hilo; hapo ni sehemu ya ukumbi wa Mahakama hiyo ‘court room’ ambayo ina ukubwa wa kutosha wa kuwawezesha wananchi wenye kesi kusikiliza kesi zao bila usumbufu. 
Muonekano wa Ukumbi wa Mahakama ‘court room’
Kibao cha Mkandarasi aliyejenga jengo hilo la Mahakama kikiwa ‘site’
(Picha na Mary Gwera, Mahakama) 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni