Jumanne, 24 Julai 2018

MAAFISA HABARI WA MAHAKAMA WAJIFUNZA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII

  Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bw. Innocent Mungy akitoa Mada kuhusu Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Kijamii kwa Maafisa  wa Mahakama wanaohudhuria Mafunzo ya siku tano ya masuala ya Habari
mjini Dodoma.
 
 Watumishi wa Mahakama ya Tanzania pamoja na wadau wakifurahia jambo na Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bw. Innocent Mungy wakati akitoa Mada kuhusu Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Kijamii leo mjini Dodoma.
 Mafunzo yakiendelea
 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO (Usajili wa Magazeti) Bw. Patrick Kipangula akitoa mada kuhusu Sheria ya Huduma za Habari na Kanuni zake kwa Watumishi wa Mahakama ya Tanzania pamoja na wadau wanaohudhuria Mafunzo kuhusu masuala ya Habari mjini Dodoma.

Watumishi wa Mahakama ya Tanzania pamoja na wadau wakiwa kwenye Mafunzo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni