Jumanne, 25 Februari 2020

MTAALAM BENKI YA DUNIA ATEMBELEA JENGO JIPYA MAHAKAMA KUU MUSOMA


Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Majengo-Mahakama ya Tanzania, Mhandisi Khamadu Kitunzi (kulia) akimuonyesha kitu Bi. Hikaru Kitai, Mtaalamu wa masuala ya Miundombinu kutoka Benki ya Dunia pindi alipotembelea katika jengo la Mahakama Kuu-Kanda ya Musoma Februari 24, 2020.
 Ukaguzi ukiendelea, kushoto ni Naibu Msajili, Mahakama Kuu-Kanda ya Musoma, Mhe. Mary Moyo.
Muonekano wa sehemu ya mbele wa jengo la Mahakama Kuu-Kanda ya Musoma.

(Picha na Simon Lyova, Mahakama-Musoma)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni