Alhamisi, 16 Julai 2020

JAJI MFAWIDHI TABORA-SALVATORY BONGOLE AFARIKI DUNIA

 Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole enzi ya Uhai wake.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole aliyefariki Dunia jana saa 5 usiku baada ya Kuugua ghafla.

Jaji Bongole alipofikishwa hospitali ya Mkoa ya Kitete kwa matibabu, Daktari alithibitisha kuwa amefariki.

Taarifa Kuhusu Mipango ya Mazishi zitajulikana hapo baadaye.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Maoni 4 :

  1. Ooh poleni sana familia Mungu awatie nguvu

    JibuFuta
  2. R.I.P our beloved hon. Justice!

    JibuFuta
  3. Ama hakika tumepoteza. Pumziko jema boss.

    JibuFuta
  4. Peter Buretta.Nisikitiko kubwa kwangu kwani nimtu muhimu sn kwa familia yangu pia juhudi zake nzuri xa kazi.amakweli kizuri hakidumu.Apokelewe mbinguni Amina

    JibuFuta