Ijumaa, 20 Novemba 2020

MTUMISHI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA MTWARA MJINI AFARIKI DUNIA

 


Uongozi wa Mahakama ya Tanzania unasikitika kutangaza kifo cha Mtunza Kumbukumbu wa Mahakama ya Wilaya ya Mtwara mjini Bibi. Safina Namanga kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 18/11/2020 katika hospitali iliyopo mjini Mtwara.

Mazishi ya Marehemu Safina yamefanyika jana tarehe 19/11/2020 mkoani Mtwara.

Inna Lillah wa Inna layhi Rajiun.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni