Jumatano, 17 Februari 2021

MTUMISHI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA ILEMELA AFARIKI DUNIA

                                                                     TANZIA


Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Mahakama ya Wilaya ya
Ilemela Bw. Severine Presha, aliyekuwa Dereva kilichotokea jana Februari 16, 2021 mjini Mwanza.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni