TANZIA
Marehemu Jaji Mwanaisha Athumani Kwariko enzi za uhai wake.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, anasikitika kutangaza kifo cha Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe.Mwanaisha Athumani Kwariko kilichotokea tarehe 27 Desemba, 2024 katika Hospitali ya Max Super Speciality iliyoko nchini India, alipokuwa akipatiwa matibabu.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa Mkoani Dodoma, kijijini kwao Bicha Wilayani Kondoa tarehe 30 Desemba, 2024.
Kwa mawasiliano zaidi piga : 0754611777
Msajili wa Mahakama ya RufaniTanzania.
INA LILLAH WAINA ILLAH RAJIUN.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni