Ijumaa, 9 Mei 2025
MAHAKAMA KUU TABORA YAANZA KUSIKILIZA SHAURI LA KIKATIBA KUHUSU UCHAGUZI MKUU
›
Na AMANI MTINANGI, Mahakama-Tabora Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora imeanza kusikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa na Bw. Ale...
MAHAKIMU KITUO JUMUISHI TEMEKE WAPATA MAFUNZO KUHUSU MAMLAKA ZINAZOINGILIANA
›
Wasisitizwa kuacha mashauri yaamuliwe katika Mahakama husika. Na NAOMI KITONKA-Kituo Jumuishi, Temeke Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya T...
MSAJILI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA WIPO YA MAENDELEO NA MILIKI BUNIFU
›
Aeleza mafanikio ya ushirikiano kwa kipindi cha miaka sita Na INNOCENT KANSHA na MAGRETH KINABO - Mahakama Msajili Mkuu wa Mahakama y...
Alhamisi, 8 Mei 2025
MAAGIZO MUHIMU MATANO YA JAJI MKUU KWA VIONGOZI WAPYA JMAT
›
Awataka kubaini maeneo yenye jiografia ngumu JMAT watumie fursa uwekezaji kwenye teknolojia Awataka kujiandaa na uchaguzi mkuu Na FAUSTINE K...
Jumanne, 6 Mei 2025
MAHAKIMU WAFAWIDHI KIGOMA WAKUMBUSHWA KUONGEZA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO KUEPUKA VIFUNGO
›
Na AIDAN ROBERT, Mahakama-Kigoma Naibu Msajili Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma, Mhe. Fadhili Mbelwa ametoa rai kwa Mahakimu Wakazi ...
UMOJA NA UPENDO NGUZO MUHIMU KATIKA KUWAWEKA WATUMISHI PAMOJA; JAJI TIGANGA
›
Na Daniel Sichula – Mahakama, Mbeya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mbeya Mhe. Joachim Tiganga amesema umoja na upendo...
Jumatatu, 5 Mei 2025
WATUMISHI MAHAKAMA KANDA YA MOSHI WASHIRIKI MEI MOSI
›
Na CAREEN INOSHI- Mahakama, Moshi Watumishi wa Mahakama Kuu Kanda Moshi waliungana na Wafanyakazi wote wa Mkoa wa Kilimanjaro kuadhimisho ...
MAHAKAMA SONGWE WASHIRIKI YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
›
Na Iman Mzumbwe – Mahakama, Songwe Wafanyakazi wa Mkoa wa Songwe tarehe Mosi Mei, 2025 walijumuika na wafanya kazi wengine katika maadhimi...
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti