Ijumaa, 10 Machi 2017

MAHAKAMA- KIGOMA YAENDELEZA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA


Watumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi-Kigoma wakifanya usafi katika maeneo yanayozunguka Ofisi yao. Zoezi hili la usafi ni endelevu kwa kila wiki hufanyika Ijumaa lengo likiwa ni kboresha muonekano wa mazingira.
Afisa Utumishi wa Mahakama ya Wilaya-Kigoma, Bw. Festor Sanga akifyeka nyasi katika maeneo ya Mahakama.
Watumishi wakiendelea na usafi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni