Alhamisi, 16 Machi 2017

MUONEKANO WA MAJENGO YA MAHAKAMA KUU KANDA YA TANGA BAADA YA UKARABATI


  Muonekano wa Majengo mbalimbali ya Mahakama Kuu Tanga baada ya Ukarabati. Mahakama ya Tanzania imejipanga katika kuboresha huduma zake ikiwemo kuboresha miundombinu yake kwa kujenga Majengo mapya na kukarabati yaliyochakaa, zoezi hili linafanyika kwa awamu kulingana na uwepo wa bajeti ya kutosha kwa ajili ya Maendeleo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni