Alhamisi, 19 Julai 2018

JAJI MKUU AWAAPISHA MAWAKILI WAPYA 549

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma,(katikati) akiwa  pamoja na baadhi ya majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu wakiwa  wamesimama   kwa ajili ya kuwapokea  na kuwakubali  mawakili wapya  549  kwenye hafla iliyofanyika leo  katika  Viwanja  vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
 
Baadhi ya mawakili wakiwa wanasubiri kupokewa na kukubaliwa kuwa mawakili

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma,(katikati) akiwa  pamoja na baadhi ya majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu wakiwa   katika  picha ya pamoja baada ya  kuwapokea  na kuwakubali  mawakili wapya  549  kwenye hafla iliyofanyika leo  katika  Viwanja  vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma,(katikati) akiwa  pamoja na baadhi ya majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu wakiwa  wamesimama   kwa ajili ya kuwapokea  na kuwakubali  mawakili wapya  549  kwenye hafla iliyofanyika leo  katika  Viwanja  vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya mawakili wakiwa wameinama ili kutoa heshima  kwa Jaji Mkuu.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma,(katikati) akiwa katika picha  ya   pamoja na baadhi ya mawakili , majaji wengine  mara baada ya kuwapokea na kuwakubali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni