| Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akizungumza na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike . |
| Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akimkabidhi jarida la Mahakama na kitabu cha Mpango Mkakati wa Miaka Mitano , Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike . |
| Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,Bw. Hussein
Kattanga akizungumza na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike . |
| Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike . |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni