Ijumaa, 13 Septemba 2019

MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA AFANYA ZIARA MAHAKAMA KUU KANDA YA BUKOBA

Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe.  Katarina  Revocati,(katikati) akizungumza na Watumishi wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba. Kushoto ni Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Bukoba, Mhe. Joyce Minde na (kulia) ni Katibu wa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Upendo Ngitiri.
Baadhi ya watumishi wakimsikiliza Mhe. Msajili Mkuu.

 Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba,Mhe. Johanitha Rwehabula akiuliza  jambo  wakati kikao hicho.

Afisa Utumishi wa Mahakama Kuu Bukoba, Monica Kalokola akiuliza jambo kuhusu masuala ya kiutumishi na maslahi ya watumishi.

(Picha na Ahmed   Boniface- Bukoba)


Maoni 1 :