Alhamisi, 20 Februari 2020

MITANDAO YA KIJAMII ITUMIKE KUITANGAZA MAHAKAMA INAYOTEMBEA:BENKI YA DUNIA

Wataalamu kutoka Benki ya Dunia (WB) wakibadilishana  uzoefu na baadhi ya viongozi, Mahakimu, watumishi na washauri wa Mahakama juu ya utendaji kazi wa Mahakama inayotembea (Mobile Court).

 Mtaalamu kutoka Benki ya Dunia (WB), Bi. Debohar  Isser (wa kwanza kushoto) akichangia jambo katika kikao hicho.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika kikao hicho.

Mratibu wa Mahakama inayotembea, ambaye pia ni Hakimu Mkazi, Mhe. Moses Ndelwa akitoa taarifa ya mahakama hiyo leo.


Mshauri wa Mahakama, Bw.Juma Njalale akichangia jambo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni