Jumatatu, 6 Julai 2020

JAJI KIONGOZI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA ELIMU YA SHERIA KWA MTANDAO

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (akiwa mbele)akiongoza kikao cha Baraza la Elimu ya Sheria la Tanzania Bara, kwa njia ya Mkutano Mtandao  leo Jijini Dar es Salaam huku baadhi ya wajumbe wawili wakishiriki kwa mtandao nje ya  jiji hilo. Jaji Kiongozi ambaye ni Mwenyekiti wa baraza hilo,  ameongoza kikao hicho cha tathmini ya mchakato wa kupokea maombi , usaili wa kuwapokea na kuwakubali mawakili wapya uliofanyika hivi karibuni.

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akiongoza kikao cha Baraza la Elimu ya Sheria la Tanzania Bara, kwa njia ya Mkutano Mtandao  leo Jijini Dar es Salaam huku baadhi ya wajumbe wawili wakishiriki kwa mtandao nje ya  jiji hilo. Jaji Kiongozi ambaye ni Mwenyekiti wa baraza hilo,  ameongoza kikao hicho cha tathmini ya mchakato wa kupokea maombi , usaili wa kuwapokea na kuwakubali mawakili wapya uliofanyika hivi karibuni.

Katibu wa Baraza la Elimu ya Sheria la Tanzania Bara, ambaye pia Naibu Msajili  Mwandamizi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu, Mhe. Messe Chaba akitoa  tathimini kwenye kikao hicho.  
Mjumbe wa kikao hicho,  Dkt. Erasmo Nyika  ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School )akichangia hoja.
Mjumbe wa kikao hicho, Aisha Sinda  ambaye ni mjumbe wa Baraza na ni Wakili wa kujitegemea akichangia hoja.
(Picha na Innocent Kansha- Mahakama)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni