Alhamisi, 9 Julai 2020

KAMATI YA UKAGUZI WA NDANI YA MAHAKAMA YA TANZANIA YAFANYA KIKAO

Katibu wa Kamati ya Ukaguzi ya Mahakama ya Tanzania, Bi.Wanyenda Kutta akizungumza jambo kwenye kikao  cha kamati hiyo, kilichofanyika jana katika ukumbi wa maktaba ya Mahakama ya Rufani Tanzania, uliopo Jijini Dar es Salaam. Lengo la kikao hicho ni kujadili ukaguzi wa ndani wa miradi mbalimbali. Kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Bw. Leornad Magacha.

                             Baadhi ya wajumbe wakiwa  katika  kikao hicho.
                                     
 
( Picha na Magreth Kinabo- Mahakama)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni