Wananchi mbalimbali wanaendelea kutembelea Banda la Mahakama
ya Tanzania lililopo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba),
2025 yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo
barabara ya Kilwa Temeke Dar es Salaam.
Wananchi wazidi kujitokeza kupata elimu kwenye Mabanda ya Mahakama Sabasaba 2025 katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa Temeke Dar es Salaam.
(PICHA NA INNOCENT KANSHA-MAHAKAMA 77)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni