Matukio mbalimbali katika picha wakati Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju alipotembelewa na Viongozi kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) jana tarehe 26 Septemba, 2025 ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju (aliyeketi mbele) akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma jana tarehe 26 Septemba, 2025.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Francis Chalamila akisaini kitabu cha wageni walipomtembelea Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Gorge Masaju ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju.
Majaji wa Mahakama ya Rufani walioshiriki katika mazungumzo kati ya Jaji Mkuu na Viongozi kutoka TAKUKURU waliomtembelea jana tarehe 26 Septemba, 2025 ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma. Kushoto ni Mhe. Gerald Ndika na kulia ni Mhe. Paul Ngwembe.
Kaimu Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Abdi Kagomba.
Jaji Mkuu wa Mahakamaya Tanzania, Mhe. George Masaju akifuatilia mazungumzo baina yake na Viongozi wa TAKUKURU waliomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma jana tarehe 26 Septemba, 2025.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Francis Chalamila (kushoto) akifuatilia mazungumzo alipomtembelea Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju jana tarehe 26 Septemba, 2025 ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
(Picha na JEREMIA LUBANGO, Mahakama)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni