Matukio mbalimbali katika picha wakati Viongozi wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) walipomtembelea Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju jana terehe 26 Septemba, 2025 ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
(Picha na JEREMIA LUBANGO, Mahakama)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni