Jumatatu, 22 Februari 2016

                                        GAZETI: NIPASHE, TAREHE 21/02/2016

Maoni 2 :

  1. Kwa taarifa iliyotolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Butiama Mhe. Mushi amesema kuwa, tayari mtuhumiwa Manini Marwa amekamatwa na yupo chini ya ulinzi wa polisi. Upelelezi wa tukio hilo unaendelea katika Ofisi ya upelelezi Wilaya ya Butiama na karibuni mtuhumiwa atafikishwa Mahakamani. Mahakama ya Tanzania inapenda kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa vyombo vya Dola kuweka ulinzi imara kwa Mahakama ili kuwezesha Mahakama kufanya kazi zake.

    JibuFuta
  2. Swali alipitaje na hiyo kitu, hakuna ulinzi

    JibuFuta