Ijumaa, 26 Februari 2016

MAFUNZO YA USIMAMIZI WA FEDHA NA RASILIMALI ZA MAHAKAMA.



Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Wadau wake inaendesha mafunzo ya usimamizi wa Fedha na Rasilimali nyingine za Mahakama, lengo ni kupunguza kwa kiasi kikubwa hoja za ukaguzi. Mada mbalimbali katika mafunzo hayo zinatolewa na Mkuu wa Hazina Ndogo Bw. Shaaban, Mkaguzi Mkuu wa nje katika Mkoa Bw.Kibona, Mhakiki Mali wa Mkoa Bw.Simba na CAs. Mafunzo hayo kwa sasa yanaendelea mkoani Shinyanga na Mwanza nk.
                                  
Mkaguzi Mkuu wa nje katika Mkoa Bw.Kibona akitoa mada.



Watumishi washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa Fedha na Rasilimali za Mahakama ya Tanzania katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wakufunzi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni