Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga akifafanua jambo alipotembelea katika banda la Mahakama ya Tanzania katika viwanja vya Mwl. Nyerere almaarufu kama Sabasaba, Mahakama ya Tanzania ni moja ya Taasisi zinazoshiriki katika maonesho hayo lengo kuu likiwa ni kuelimisha.
Mtendaji Mkuu akikagua mabanda ya Mahakama.
Muonekano wa jengo la Mahakama ya Tanzania katika viwanja vya Sabasaba, katika banda hilo Mahakama ya Tanzania inawakilishwa na ngazi mbalimbali za Mahakama ambazo ni Mahakama ya Rufani mpaka Mahakama za Mwanzo, Mirathi, Idara vya Utawala, ICT vipo katika banda hilo. Huduma mbalimbali zinatolewa ikiwa ni pamoja na uelimishaji, ufafanuzi juu ya taratibu za kesi, taratibu za mirathi n.k.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni