Jumanne, 14 Juni 2016

WATUMSHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA WAPATIWA MAFUNZO YA MPANGO MKAKATI

Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania ambao ni wakurugenzi, watendaji wakuu, manaibu wasajili na maafisa rasilimali watu wakiwa katika mafunzo maalum leo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama wa mwaka 2015/2016 hadi 2019/2020 wenye lengo la kuboresha utendaji kazi yanayoendelea jijini Dar es Salaam .

Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania ambao ni wakurugenzi, watendaji wakuu,  na maafisa rasilimali watu wakiwa katika mafunzo maalum leo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama wa mwaka 2015/2016 hadi 2019/2020 wenye lengo la kuboresha utendaji kazi yanayoendelea jijini Dar es Salaam .

Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania ambao ni wakurugenzi, watendaji wakuu, manaibu  wasajili na maafisa rasilimali watu wakiwa katika mafunzo maalum leo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama wa mwaka 2015/2016 hadi 2019/2020 wenye lengo la kuboresha utendaji kazi yanayoendelea jijini Dar es Salaam .

Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania ambao ni wakurugenzi, watendaji wakuu, manaibu wasajili  na maafisa rasilimali watu wakiwa katika mafunzo maalum leo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama wa mwaka 2015/2016 hadi 2019/2020 wenye lengo la kuboresha utendaji kazi yanayoendelea jijini Dar es Salaam .
          Mtaalamu wa mafunzo hayo, Ken Mutaonga akitoa elimu hiyo.

Mkurugenzi wa Biashara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Rais inayoshughulikia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa(PDB), Bi. Neema Ndunguru(aliyevaa koti jeusi) akifafanua jambo leo katika mafunzo hayo  yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Maoni 1 :

  1. Mahakama ya Tanzania tunaona mwelekeo WA kimataifa. Tunaimani hayo maboresho yatakuwa Neema kwa wwnanchi hadi kule Mahakama za Mwanzo pasipo na Majengo mazuri

    JibuFuta