Jumatano, 17 Agosti 2016

MAHAKAMA KUU ARDHI WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MPANGO MKAKATI

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi Mheshimiwa Sivangilwa Mwangesi (katikati), akizungumza na Watumishi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi na ADR mara baada ya kufungua Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mtendaji wa Mahakama hiyo,Leonard Magacha na kushoto ni Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Richard Kabate 
 
 Watumishi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi na Wale wa ADR wakifuatilia Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania yaliyoanza leo jijini Dar es salaam 

Watumishi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi na Wale wa ADR wakifuatilia Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania yaliyoanza leo jijini Dar es salaam 

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi Mheshimiwa Sivangilwa Mwangesi akifungua Mafunzo Kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania kwa watumishi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi na wale wa ADR leo jijini Dar es salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni