Jumamosi, 30 Juni 2018

SIKU YA PILI YA MAONESHO YA 42 YA BIASHARA YA KIMATAIFA

 Afisa kutoka Kurugenzi ya Menejimenti ya Mashauri, Bw. Kifungu Mrisho Kariho (aliyesimama kulia) pamoja na mwenzake, Bw. Mosses Ndelwa wakiwahudumia baadhi ya Wateja waliopata nafasi ya kutembelea banda la Mahakama katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Sabasaba, 2018.
 Huduma ikiendelea kutolewa kwa Wananchi na Maafisa wa Mahakama.
 Maafisa wa Mahakama wanaoshiriki katika Maonesho ya Sabasaba wakisikiliza maoni/hoja kutoka mwananchi (kulia) aliyetembelea banda la Mahakama lililopo katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere mkabala na jengo la JKT.
 Wananchi wakipatiwa elimu juu ya taratibu za Mirathi, anayetoa elimu hiyo ni Mkuu wa Kitengo cha Mirathi, Bw. Cassian Makene.
 Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wanaoiwakilisha Mahakama katika Maonesho ya Sabasaba wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilisha majukumu yao ya utoaji huduma kwa wananchi siku ya pili ya Maonesho hayo.
(Picha na Mary Gwera)






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni