Alhamisi, 23 Februari 2017

JAJI NATHALIA KIMARO ASTAAFU RASMI UTUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA


Jaji wa Mahakama ya Rufani (T), Nathalie Kimaro (pichani) amestaafu Utumishi wa Mahakama rasmi leo Februari 23, 2017, baada ya kuitumikia Mahakama kwa takribani miaka 35.
Mkurugenzi Msaidizi-Utumishi, Bi. Wanyenda Kutta (kulia) akipeana mkono na Mhe. Jaji Kimaro kama ishara ya kumuaga kufuatia kustaafu kwake rasmi leo Februari 23, 2017, katikati ni Bi. Rose Tengu, Afisa Utumishi-Mahakama anayeshughulikia Mafao ya Watumishi Wastaafu wa Mahakama.
Wakiwa katika picha ya pamoja ofisini kwa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani (T), Mhe. Jaji Nathalie Kimaro.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni