Alhamisi, 2 Februari 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI LEO AMEHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI.









Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma, akiwasili katika viwanja vya Chimala kwa ajili ya  Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria leo jijini Dar es salaam.











    Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu wakiwasili kwenye viwanja vya Mahakama ili kuanza Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini.




 





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akiwasili viwanja vya Mahakama vya Chimala jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho  ya siku ya Sheria nchini.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu mara baada ya kuwasili  kwenye viwanja vya Mahakama vya Chimala jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho  ya siku ya Sheria nchini.



    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli   akisalimiana na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali mara baada ya kuwasili  kwenye viwanja vya Mahakama vya Chimala jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho  ya siku ya Sheria nchini.


   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria leo jijini Dar es salaam.





      Mtaalamu kutoka Benki ya Dunia, Waleed Haider Malik (katikati) akizungumza na wageni walioalikwa kwenye Sherehe za maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini.

Baadhi ya wageni waalikwa  wakiwa kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria leo jijini Dar es salaam.

     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akiwa katikapicha ya pamoja na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma (katikati) na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Harrison Mwakyembe (wa pili (kushoto) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria leo jijini Dar es salaam. Wengine ni baadhi ya waheshimiwa majaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania.



             



    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa taifa na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma katika jukwaa kuu wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.












     Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria leo jijini Dar es salaam.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni