Jumanne, 21 Machi 2017

WANAFUNZI WA SHULE YA SHERIA ILLINOIS MAREKANI WAKUTANA NA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA



Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani wakiwa wamemtembelea Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam. Wanafunzi hao wako nchini kwa ajili ya Utafiti wao kuhusu hali ya  sasa ya Makosa ya Mauaji ya Wanyamapori  na Usimamizi wa Rasilimali ya Wanyamapori Tanzania.


 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani (hawapo pichani) walipotembelea Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam leo. Wanafunzi hao wanafanya Utafiti kuhusu hali ya  sasa ya Makosa ya Mauaji ya Wanyamapori  na Usimamizi wa Rasilimali ya Wanyamapori Tanzania. Kushoto ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali.
 Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani wakiwa wamemtembelea Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam. Wanafunzi hao wako nchini kwa ajili ya Utafiti wao kuhusu hali ya  sasa ya Makosa ya Mauaji ya Wanyamapori  na Usimamizi wa Rasilimali ya Wanyamapori Tanzania.

 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali wakati wakizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani (hawapo pichani) walipotembelea Mahakama ya Rufani leo jijini Dar es Salaam. Wanafunzi hao wako nchini kwa ajili ya Utafiti kuhusu hali ya  sasa ya Makosa ya Mauaji ya Wanyamapori  na Usimamizi wa Rasilimali ya Wanyamapori Tanzania.
  Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani (hawapo pichani) walipotembelea Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam leo. Wanafunzi wanafanya Utafiti kuhusu hali ya  sasa ya Makosa ya Mauaji ya Wanyamapori  na Usimamizi wa Rasilimali ya Wanyamapori Tanzania. Kushoto ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Aloyisius Mujulizi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani (hawapo pichani) walipotembelea Mahakama ya Rufani leo jijini Dar es Salaam. Wanafunzi hao wapo nchini kwa ajili ya Utafiti kuhusu Hali ya  sasa ya Makosa ya Mauaji ya Wanyamapori  na Usimamizi wa Rasilimali ya Wanyamapori Tanzania.


Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali walipotembelea leo Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam. Wanafunzi hao wako nchini kwa ajili ya Utafiti wao kuhusu hali ya  sasa ya Makosa ya Mauaji ya Wanyamapori  na Usimamizi wa Rasilimali ya Wanyamapori Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni