Jumatano, 24 Mei 2017

MUONEKANO WA MAJENGO YA MAHAKAMA YA TANZANIA YALIYOPO KATIKA UJENZI




Muonekano wa Jengo la Mahakama ya  Mwanzo na Wilaya-Kawe,Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni hatua ya kuboresha za  huduma za Mahakama ili kuendelea kukidhi  matakwa  ya wananchi.


               Ujenzi wa nyumba ya Hakimu ya vyumba vitatu ukiendelea. 


Ujenzi wa nyumba ya Hakimu ya vyumba viwili ukiendelea.



Muonekano wa Jengo la Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo, lengo la ujenzi wa Mahakama nchini ni hatua ya kuboresha  huduma ya utoaji haki ili kuendelea kukidhi  matakwa  ya  wananchi ya upatikanaji wa haki kwa wakati.



                



  Baadhi ya mafundi na wahandisi wa Mahakama  wakiwa kazini.           


Kazi ikiendelea

                                                (Picha  na Magreth Kinabo)










Hakuna maoni:

Chapisha Maoni