Naibu
Msajili wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi Mhe. Bernard Mpepo (kulia) akizungumza jambo na
Mtendaji wa Mahakama wa kanda hiyo, Bw. Donald Makawia wakati wa ufunguzi wa
wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani uliofanyika
katika uwanja vya Mashujaa Mjini Moshi
Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi wakiwa katika maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani iliyoanza katika mkoa wa Kilimanjaro.
Wananchi wakiwa kwenye Banda la Mahakama ili kupatiwa huduma mbalimbali za Kimahakama wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani iliyoanza katika mkoani Kilimanjaro.
Askari wa Usalama Barabarani wakiwa kwenye banda la Mahakama ya Tanzania ili kupatiwa huduma mbalimbali za Kimahakama wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani iliyoanza katika mkoani Kilimanjaro.
Wananchi wakiwa kwenye banda la Mahakama ya Tanzania ili kupatiwa huduma mbalimbali za Kimahakama.
(Picha
na Angel Meela- Mahakama, Moshi)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni