Jumatatu, 29 Januari 2018

MAHAKAMA YA MWAZO KAWE YAZINDULIWA RASMI

Jaji Mfawidhi wa Mahakama  Kuu, Kanda ya Dares Salaam, Mhe. Beatrice Mutungi akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mahakama ya Mwazo Kawe iliyopo jijini Dar es Salaam uliofanyika leo .ambapo aliwataka  watumishi kuongeza ari ya kufanya kazi kwa weledi na kuepuka  vitendo  rushwa kwa kuwa jengo hilo ni fursa ya kuongeza ufanisi  wa utendaji  kazi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama  Kuu, Kanda ya Dares Salaam, Mhe. Beatrice Mutungi akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mahakama ya Mwazo Kawe iliyopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi  wa Mahakama wakiwa katika   wa  uzinduzi huo.
Baadhi ya wageni    wakiwa katika uzinduzi huo.
(Picha na Magreth  Kinabo)



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni