Jumatano, 16 Mei 2018

JAJI MSTAAFU MROSSO AFUNGA WARSHA YA NAMNA YA UTATUZI NA USULUHISHI WA MIGOGORO YA KAZI

Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama ,Lushoto Mhe. John Mrosso akizungumza jambo wakati wa akifunga  wa warsha ya siku tatu kuhusu utatuzi   na usuluhishi wa migogoro ya kazi iliyofanyika kwenye Kituo  cha mafunzo, kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Jaji Msaafu wa Mahakama Kuu, Regina  Rweyemamu  akifafanua jambo kwenye warsha  ya  utatuzi  na usuluhishi wa migogoro ya kazi iliyofanyika kwenye Kituo  cha mafunzo, kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Jaji wa Mahakama Kuu, Tanga Mhe. Imani  Aboud akizungumza jambo  katika warsha  ya utatuzi   na usuluhishi wa migogoro  ya kazi iliyofanyika kwenye Kituo  cha mafunzo, kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wadau  wakiwa  kwenye  warsha   ya utatuzi  na usuluhishi wa migogoro  ya kazi iliyofanyika kwenye Kituo  cha mafunzo, kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Mshauri  Maridadi  Phanuel (kushoto)akichangia jambo  katika warsha  ya utatuzi   na usuluhishi wa migogoro  ya kazi iliyofanyika kwenye Kituo  cha mafunzo, kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

(Picha na Magreth Kinabo)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni