Jumatano, 16 Mei 2018

MFANYAKAZI BORA WA MAHAKAMA YA TANZANIA AKABIDHIWA CHETI




Baadhi wa watumishi wa Mahakama Kuu -Divisheni ya Kazi wakiwa katika picha ya pamoja na Mfanyakazi bora wa  Mahakama ya Tanzania(aliyeshika  cheti), Temu Mwambete.



Jaji Mfawidhi  wa Mahakama Kuu –Divisheni ya Kazi, Mhe. Aisha   Nyerere(kulia) akimpongeza  leo baada  kumkabidhi  cheti cha mfanyakazi bora wa Mahakama ya Tanzania, Temu  Mwambete(katikati) na kushoto ni  Katibu Mkuu wa Chama cha  Wafanyakazi  wa Serikali Kuu na Afya  Alquine Masubo.



Jaji Mfawidhi  wa Mahakama Kuu –Divisheni ya Kazi, Mhe. Aisha   Nyerere(kulia) akimkabidhi leo cheti cha mfanyakazi bora wa Mahakama ya Tanzania, Temu  Mwambete(katikati) na kushoto ni  Katibu Mkuu wa Chama cha  Wafanyakazi  wa Serikali Kuu na Afya  Alquine Masubo. Mfanyakazi huyo alikabidhiwa Sh milioni moja ikiwa ni motisha kwa ajili ya utendaji kazi wake.



Naibu Msajili Mfawidhi Mhe. Projestas Kahyoza  akizungumza leo na baadhi ya  watumishi wa Mahakama Kuu  -Divisheni ya Kazi wakati wa hafla fupi ya kukabidhi cheti  cha  mfanyakazi bora .

                                          ( Picha na Magreth Kinabo)









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni