Jumatatu, 7 Mei 2018

MAJAJI NA WATUMISHI WENGINE WANAWAKE WA MAHAKAMA YA TANZANIAWASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI ULIOFANYIKA NCHINI ARGENTINA

 Pichani ni baadhi ya Majaji wanawake na Maafisa wengine wa Mahakama ya Tanzania walioshiriki katika Mkutano wa Majaji Wanawake Duniani uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Hilton uliopo jijini Buenos Aires-Argentina. Kauli mbiu ya Mkutano huo ni ‘Building bridges between women Judges of the World’ Kuweka daraja baina ya Majaji Wanawake Duniani.
     Wajumbe wa Mkutano huo kutoka Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja, Mkutano huu ni fursa kwa Wahe. Majaji, Mahakimu na Wajumbe wengine kujifunza na kubadilishana uzoefu katika maeneo mbalimbali ya kisheria. Kuwawezesha pia kutekeleza majukumu yao wakielewa kuwa kuna jamii kubwa nyuma yao na hasa wanawake wanaohitaji msaada wa kisheria.

Maoni 2 :

  1. Hongereni sana Waheshimiwa Majaji Wanawake na watumishi wengine kwa uwakilishi Wenu mzuri na uliotukuka huko Buenos Aires-Argentina!!
    Hakika mmekuwa taa na kioo kuimulika Tanzania katika harakati za kumkomboa mwanamke kisheria. Ili aweze kuutambua utu, heshima na thamani ya mwanamke kisheria. Daraja ambalo litawavusha wanawake wengi Ulimwenguni. "BIG UP TO ALL TAWJA". Mungu ibariki TAWJA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    JibuFuta
  2. Hongereni sana Waheshimiwa Majaji Wanawake na watumishi wengine kwa uwakilishi Wenu mzuri na uliotukuka huko Buenos Aires-Argentina!!