Jumatano, 13 Januari 2021

MTUMISHI WA MAHAKAMA KUU AFARIKI DUNIA

                                               TANZIA Uongozi wa Mahakama ya Tanzania unasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake, Mexsensius Lilundilu kilichotokea leo Januari 13, 2021 katika hospitali ya Kadinali Rugambwa iliyoko Ukonga Mombasa jijini Dar es salaam.

Taratibu nyingine za mazishi ya mtumishi huyo ambaye alikuwa ni Fundi Sanifu wa Mahakama Kuu ya Tanzania zitajulikana hapo baadaye.

Bwana Alitoa ana Bwana Ametwaa, jina lake lihimidiwe.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni