HABARI PICHA
JAJI MFAWIDHI DODOMA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA MAHAKAMA YA WILAYA CHAMWINO IKULU.
Jaji Mfawidhi wa
Mahakama Kuu Dodoma Mhe.Dkt Juliana Masabo (wa kwanza kushoto alievaa miwani) akiendelea
na ukaguzi katika ujenzi wa Mahakama ya Wilaya Chamwino Ikulu leo tarehe 29
Januari, 2025.
Hali ya Ujenzi wa
Mahakama ya Wilaya Chamwino Ikulu iliyopo ulivyofikia hadi sasa.
Hali ya Ujenzi wa
Mahakama ya Wilaya Chamwino Ikulu iliyopo ulivyofikia hadi sasa.
(Picha na Arapha Rusheke - Mahakama, Dodoma)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni