Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Geita, Mhe. Jaji Kevin David Mhina( katikati) akimuapisha kiapo cha uadilifu Mjumbe wa Kamati ya Maadili ya Maafisa wa Mahakama wa Wilaya ya Chato, Dkt. Emmanuel Samwel Katani katika hafla iliyofanyika tarehe 11 Machi, 2025. Wengine waliohudhuria hafla hiyo ni Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Geita, Mhe Fredrick Rutashobya Lukuna( wa pili kushoto), akiwemo Mtendaji wa Mahakama wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Geita,.Bi. Masalu Cosmas Kisasila( wa kwanza kushoto) .(Picha na Na DOTTO NKAJA, Mahakama - Geita.)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni