Jumatano, 30 Aprili 2025

PICHA ZA MATUKIO YA ZIARA YA MAJAJI WASTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA


 
Picha ya juu na chini ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Mustapher Mohamed Siyani akizungumza  leo tarehe 30 Aprili, 2025 na Majaji  Wastaafu wa Mahakama hiyo,  wakati walipotembelea maeneo mbalimbali ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, lililopo eneo la  Tambuka Reli Barabara ya Tisa jijini Dodoma mahali yalipo Makao Makuu ya Nchi lililozinduliwa  tarehe 5 Aprili, 2025. 

Picha mbalimbali za  waliowahi kuwa Majaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, akiwemo Jaji Kiongozi wa sasa Mhe. Dkt. Mustapher Mohamed Siyani.
  
                                  Majaji hao wakiangalia picha hizo.

Baadhi ya Majaji hao  wakimsikiliza  Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo wa sasa.

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Mustapher Mohamed Siyani(kulia) akizungumza jambo  na Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo,  leo tarehe 30 Aprili, 2025 wakiwemo  Majaji  Wastaafu wengine wa Mahakama hiyo.

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Mustapher Mohamed Siyani(kulia) akifafanua  jambo  na Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo,   leo tarehe 30 Aprili, 2025 na Majaji  Wastaafu wa Mahakama hiyo.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mstaafu,Mhe. Amir Msumi (aliyevaa shati la mistari) akiwa na  Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo, leo tarehe 30 Aprili, 2025. 
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Mustapher Mohamed Siyani, akiendelea kuzungumza jambo.


Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mstaafu,Mhe. Amir Msumi (aliyevaa shati la mistari) akiwa katika ofisi Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania iliyopo kwenye jengo hilo.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mstaafu,Mhe.Joseph Masanche (aliyevaa kanzu) akiangalia picha  hizo.


Mtendaji  Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (wa tatu kushoto) akiwa na Majaji hao  wakati wakitembelea maeneo mbalimbali ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, wakiwemo Viongozi Waandamizi wa Mahakama.
Mtendaji  Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akiwa na  baadhi ya Majaji hao  wakati wakitembelea  Chumba Maalum cha Kutolea Taarifa  za Mahakama nchi nzima (Judicial Situation Room)kilichopo kwenye Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania.

Mtendaji  Mkuu  wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel(kushoto) akiwa  na Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe.Joseph Masanche.



Msajili Mkuu  wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Kiyaki Nkya (kulia ) akiwaeleza    jambo  na Majaji  Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Mtendaji wa Mkuu  wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel(kushoto) akiwa  na Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe.Joseph Masanche wakifuraia jambo.


Msajili Mkuu  wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Kiyaki Nkya (kulia ) akiwaeleza    jambo  na Majaji  Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.



Mtendaji  Mkuu  wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel(kushoto) akifafanua jambo kwa Majaji hao, katika picha ya juu na chini kwenye chumba hicho.

Picha  ya  pamoja  ya juu na chini ni  Mtendaji  Mkuu  wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel(wanne kulia) akiwa  na Majaji hao, walioongozwa na Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo(wa kwanza (kulia)  leo tarehe 30 Aprili, 2025. 



 (Picha na  MAGRETH KINABO- Mahakama, Dodoma)

ENEDELEA KUFUATILIA MATUKIO MENGINE YA ZIARA HIYO KWENYE OFISI YA JAJI MKUU WA TANZANIA NA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni