Alhamisi, 1 Mei 2025

MATUKIO YA PICHA ZA ZIARA YA MAJAJI WASTAAFU NA JAJI MKUU MHE. PROF. JUMA

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma(kushoto) akiwa ofisini kwake Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo jana  tarehe 30 Aprili, 2025  mara baada Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya  Tanzania walipotembelea  maeneo mbalimbali ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, lililopo eneo la  Tambuka Reli Barabara ya Tisa jijini Dodoma, mahali yalipo Makao Makuu ya Nchi lililozinduliwa  tarehe 5 Aprili, 2025.

picha ya pamoja.


Mtendaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Bw. Leornard Magacha akimtambulisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma(kushoto)  ziara ya  Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo,  na Majaji wengine wastaafu  jana  tarehe 30 Aprili, 2025.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma(kushoto) akiwa ofisini kwakkatika picha ya pamoja na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, waliongozwa na Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo,jana  tarehe 30 Aprili, 2025  walipotembelea  maeneo mbalimbali ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, lililopo eneo la  Tambuka Reli Barabara ya Tisa jijini Dodoma, mahali yalipo Makao Makuu ya Nchi lililozinduliwa  tarehe 5 Aprili, 2025. 


 Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma akifurahia jambo wakati Akizungumza na Majaji hao kwenye ukumbi wa mikutano.

 Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo, akizungumza jambo kwa niaba ya Majaji hao.

 

 Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma akisikiliza kwa makini.


Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma akinukuu jambo.
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Julius Mallaba na wenzake, Mhe. Suzan Mkapa ambaye akisaini kitabı cha wageni cha Jaji Mkuu. 

Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Alice Chinguwile (kushoto)na wenzake Mhe. Dkt. Fauz Twaibu(katikati)  akiwemo  mwingine ambaye Mhe. Edson Mkasimongo, anayesaini.


 Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma akisisitiza jambo.

 

Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe.Cresencia Nakuru, akisaini kitabu cha wageni cha Jaji Mkuu, (katikati) wengine ni Jaji Mstaafu, Mhe. Ibrahim Mipawa na (kulia) ni Mhe. Jaji Mstaafu Mhe. Aloyisis Mujulizi.


(PICHA NA MAGRETH KINABO-Mahakama, Dodoma)


ENDELEA KUFUATILIA PICHA ZAIDI ZA ZIARA HIYO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni