Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel akitambulishwa Bungeni wakati hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ikisomwa leo jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel akisikiliza hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria.
Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania Mhe. Dkt. Mary Levira akitambulishwa Bungeni wakati wa hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na sheria ikisomwa Bungeni.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama
na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel akitambulishwa Bungeni wakati hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ikisomwa leo
jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Katiba na Sheria Bw. Eliakimu Maswi (kushoto) akiwa na Vongozi mbalimbali wa
Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo leo Bungeni jijini Dodoma
Majaji wa Mahakama ya
Rufani wakisikiliza hotuba ya Bajeti ikisomwa, katikati ni Jaji Mhe. Dkt. Mary
Levira na kushoto ni Jaji Mhe. Winfrida Korosso. Kulia ni Msajili Mkuu wa
Mahakama ya Tanzania Mhe. Eva Kiaki Nkya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni