Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mstaafu,Mhe. Amir Msumi(kushoto) na Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo(katikati)tarehe 30 Aprili, 2025 wakiwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Kiaki Nkya(kulia) wakiwa katika Chumba Maalum cha Kutolea Taarifa mbalimbali za Mahakama ya Tanzania nchi nzima (Judicial Situation Room)kilichopo kwenye Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma tarehe 30 Aprili, 2025.
Mkurugenzi wa Menejimenti ya Usimamizi wa Mashauri wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Desdery Kamugisha (kushoto)akitoa maelezo kuhusu chumba hicho kinavyofanya kazi ya kutoa taarifa mbalimbali za mashauri ya Mahakama ya Tanzania nchini kwa Majaji hao.
Tanzania(aliyenyoosha mkono ) ambaye pia ni Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania akieleza jinsi Mfumo wa TANZLII unavyoweza kusaidia kupata taarifa za maamuzi na kufanya utafiti wa kisheria.
Majaji hao wakipata maelezo ya Kituo ya Huduma kwa Mteja cha Mahakama ya Tanzania kutoka kwa Afisa Utumishi na Kiongozi wa Timu Kituo hicho, Bi. Evetha Mboya picha hapo chini.
Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania, Mhe. Jaji Thomas Mihayo(kushoto) akipokea Taarifa ya Kituo cha Huduma kwa Mteja cha Mahakama ya Tanzania kutoka kwa Afisa Utumishi na Kiongozi wa Timu Kituo hicho, Bi. Evetha Mboya .
(PICHA NA MAGRETH KINABO- Mahakama, Dodoma)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni