MAONESHO YA 49 YA BIASHARA YA KIMATAIFA MAHAKAMA IPO KIKAZI ZAIDI
Wananchi
wazidi kujitokeza kupata elimu kwenye Mabanda ya Mahakama Sabasaba 2025 katika
Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kufanyika katika Viwanja
vya Mwalimu Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa Temeke Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni