Uongozi wa Mahakama Kuu Kanda ya Musoma unasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake Bw. Abriel Ezekiel Lazaro mwenye check no. 112982216 aliyekua Dereva II wa Mahakama ya Wilaya Bunda. Marehemu amefikwa na umauti tarehe 25 Novemba, 2025 katika Hospitali ya rufaa Bugando alipokuwa akipatiwa matibabu
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni