Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro (aliyesisima) akihutubia Watumishi wa Mahakama ya
Tanzania na wananchi mkoani Mbeya walioshiriki katika ufunguzi wa Wiki ya
Sheria.
Baadhi
ya wananchi wakifuatilia uzinduzi wa maadhimisho wa wiki ya sheria nchini
iliyofanyika katika kituo cha daladala Kabwe mkoani Mbeya.
Mhe.
Sadick M. Mbillu, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Chimala Wilaya ya
Mbarali mkoani Mbeya (aliyesimama), akitoa elimu ya Sheria kwa wananchi wauza mchele waliokuwa nje ya
ofisi ya Saccos/Viccoba Chimala, ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Sheria kwa
mwaka 2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni