Mhe.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman akitoa hotuba kwenye viwanja
vya Chimala siku ya Sherehe ya Sheria Nchini 2016.
Mwakilishi wa DPP Mhe. Biswaro
Mganga akisoma hotuba katika siku ya Sheria mkoani Dar es Salaam.
Meza
Kuu ikiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe
Magufuli (wa tano kulia)
kwenye Sherehe za siku ya Sheria Nchini
Tanzania.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dr. Amon Mpanju, akitoa salam zake
mbele ya hadhara ya waliohudhuria kwenye Sherehe za siku ya Sheria Nchini.
Ametoa shukrani kwa Rais kumteua kuwa Naibu Katibu Mkuu bila kujali hali ya
ulemavu wa macho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli pamoja na meza kuu
katika picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama ya Rufani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli pamoja na meza kuu
katika picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama Kuu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli pamoja na meza kuu
katika picha ya pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na wawakilishi wa Taasisi za Dini
mbalimbali nchini.
Mhe.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman, akiwa tayari kupokea wito wa
kukagua gwaride lililoandaliwa na Askari wa FFU kuadhimisha siku ya sheria
nchini Tanzania kwa mwaka 2016.
Mhe.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman, akikagua gwaride maalum lililoandaliwa
na Askari wa FFU kuadhimisha siku ya sheria nchini Tanzania kwa mwaka 2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni